Mirathi ya mstaafu inapokuwa mtego wa panya…!

Mstaafu wetu amesoma moja ya vifurushi vinavyotolewa na hiki kibubu kinachomtunzia hela zake, ambacho kinadai kuwa ni mojawapo ya mikakati ya kibubu hicho kuboresha maisha ya mstaafu! Anaishia kutabasamu kwa uchungu na kuishia kuchoka kabisa. Kifurushi hicho ni kile kilichosema kuwa, inapofika siku ile mstaafu kutakiwa kwenda mbele za haki kupitia Kinondoni, au Mahezanguu kwa…

Read More

Haya ndio makosa kwa wanaosaka ‘six pack’

Katika harakati za kupata tumbo lenye misuli ya maarufu Kiingereza kwa jina la “six pack”, watu wengi hujikuta wakifanya makosa yanayowapotezea muda, kuwakatisha tamaa au hata kuhatarisha afya zao. Ndoto ya kuwa na tumbo la aina hiyo ni maarufu sana miongoni mwa vijana na hata watu wazima, lakini si kila mtu anayefanikisha azma hiyo. Sababu…

Read More

Ofisa Mtendaji afariki dunia akidaiwa kunywa sumu ya panya

Shinyanga. Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Ulowa Namba Moja, Kata ya Ulowa, Wilaya ya Kipolisi ya Ushetu, mkoani Shinyanga, Juliana Mkumbo (35), amekutwa amefariki dunia ndani ya chumba alichokuwa amepanga, huku milango ya nyumba hiyo ikiwa imefungwa kwa ndani. Tukio hilo lilibainika usiku wa Julai 16, 2025, baada ya watumishi wenzake kushindwa kuwasiliana na Juliana…

Read More

Twiga Stars siyo mbaya, tujipange upya

TIMU yetu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars imeshindwa kufua dafu katika Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2024 zinazoendelea huko Morocco. Ilianza kwa kufungwa bao 1-0 na Mali kisha ikatoka sare ya bao 1-1 na Afrika Kusini na mchezo wa mwisho ikafungwa mabao 4-1 na Ghana na hivyo ikaumaliza mwendo ikiwa mkiani…

Read More