MISS WORLD NA MISS AFRICA WATEMBELEA WODI YA NJITI PAMOJA NA DORIS MOLLEL FOUNDATION

16 Julai 2025 – Mwananyamala Hospital Dar es Salaam, Tanzania Miss World @suchaaata Miss Africa @hasset_dereje na Mustafa @mustafahassanali walitembelea wodi ya watoto njiti katika Hospitali ya Mwananyamala pamoja na Doris Mollel Foundation. Wameguswa na kazi kubwa inayofanywa kuwahudumia watoto njiti na wamepongeza juhudi zinazofanyika na kuahidi kuchangia vifaa tiba na kusaidia hospitali nyingine zaidi…

Read More

Tshabalala, Yanga ni suala la muda tu

HUENDA hii isiwe taarifa njema kwa mashabiki wa klabu ya Simba, lakini inadaiwa hali ndivyo ilivyo, baada ya mabosi wa Yanga kufanya umafia wa aina yake kwa beki wa kushoto wa Msimbazi, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’. Nyota huyo mwandamizi na nahodha wa Simba alyeitumikia timu hiyo kwa zaidi ya misimu 10 tangu aliposajiliwa kutoka Kagera Sugar…

Read More

TFRA YAWAFIKIA WAKULIMA ZAIDI YA ELFU MOJA KATIKA MAONESHO YA SABASABA 2025

Wataalam kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), wakiendelea na huduma ya kutoa elimu ya Mbolea pamoja na fursa ambazo zinapatikana Kwenye Mamlaka hiyo kwa wananchi mbalimbali waliotembela Banda hilo katika maonesho ya Kimataifa ya Biashara ( SABASABA) yaliyohitimishwa tarehe 13 Julai 2025, jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea…

Read More

Bugando yawafanyia upasuaji rekebishi wa uso, shingo wagonjwa 100

Mwanza. Zaidi ya wagonjwa 100 waliokuwa wakikabiliwa na changamoto za kimaumbile kwenye uso, shingo na kichwa wamepata huduma za upasuaji sanifu na rekebishi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando. Huduma hizo zimetolewa kupitia kambi maalumu za upasuaji kwa kushirikiana na wataalamu wa upasuaji kutoka Marekani tangu mwaka 2023, zikileta matumaini kwa wananchi waliokuwa wakikosa…

Read More

MENEJIMENTI ZA INEC NA ZEC ZAKUTANA ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndg. Ramadhani Kailima na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Ndg. Thabit Idarus Faina (kulia) wakiongoza kikao cha pamoja cha wajumbe wa menejimenti baina ya Tume hizo mbili leo Julai 17,2025 kilichokutana katika Ofisi za ZEC Mjini Unguja Zanzibar. Kikao hicho ni maandalizi…

Read More

Kikao cha Fadlu, Mo Dewji Dubai kuleta mashine hizi!

MASHABIKI wa Simba bado wamepigwa na butwaa baada ya kuona sehemu ya mastaa waliosajiliwa msimu uliopita na kuiwezesha timu kufika fainali ya Kombe la Shirikisho wakipewa ‘Thank You’, lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids ametoa kauli moja ya kibabe akiwatuliza mapema. Msimu uliopita Simba ilijinadi inajenga timu na kufanya maajabu ya kumaliza ya…

Read More

Vyuo nje ya nchi kutoa ufadhili wanafunzi wa Tanzania

-Fursa za elimu ya juu kimataifa sasa kupatikana Dar Na Mwandishi Wetu WAKALA wa Elimu Nje ya nchi Global Education Link inatarajia kuwakutanisha wanafunzi wa Tanzania na vyuo vikuu zaidi ya 20 kutoka nchi mbalimbali duniani katika maonyesho jijini Dar es Salaam ambapo wanafunzi watapata fursa ya kujua fursa za kusomea kozi mbalimbali kwenye vyuo…

Read More