
Camara akitoka tu, hawa wanatua
SIMBA ina hesabu kali ya kufumua eneo la kipa na unaweza kusema hakuna aliye salama, mezani kwa mabosi wa klabu hiyo kuna majina ya makipa wawili wanasubiri maamuzi tu, ili kuchukua nafasi ya Moussa Camara, iwapo wataamua kumpiga chini. Camara aliyetua Simba msimu…