
Simba yawaita mapema kina Ahoua, Camara
NYOTA wa Simba akiwamo Jean Charles Ahoua, Moussa Camara na wenzao wengine waitwa mapema kambini mwishoni mwa mwezi huu ili kujiandaa na maandalizi ya msimu mpya wa 2025-2026. Ofisa Habari wa Simba, Ahmed Ally, amesema wachezaji wote wapya na ambao wanatakiwa kuendelea na timu hiyo wote wanatakiwa kurejea mwisho wa mwezi huu. Amesema mpango wao…