
Kiasi gani cha uwekezaji chenye tija?
Watu wengi na hasa wasomaji wa gazeti hili wamekuwa na uelewa wa mambo kadhaa yanayohusu fedha na uwekezaji. Makala iliyopita iliangazia ni namna gani unavyoweza kukadiria kiasi cha akiba. Kama vile mkulima anavyoweza kukadiria kiasi cha ardhi alime ili apate mavuno anayotarajia kwa msimu wa kilimo, swali la msingi kwenye uwekezaji ni kuwa ni uwekeze…