
Kisa gharama, Pamba nusura ipigwe bei
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba amesema wanakabiliwa na changamoto ya gharama kubwa za uendeshaji wa timu ya Pamba Jiji jambo ambalo lilisababisha msimu ulioisha watake kuiuza baada ya kutofanya vizuri. Kibamba alitoa kauli hiyo juzi jijini hapa katika mkutano na wadau wa michezo ulioandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said…