
JAB YAMUONYA DIVA KUKIUKA MAADILI, YAMKABIDHI PRESS CARD
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi, Wakili Patrick Kipangula (kushoto) akimkabidhi Press Card kwa Mtangazaji Mwandamizi wa Kituo cha Radio cha Wasafi Media, Diva Gisele Malinzi. Na Mwandishi Wetu. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari -JAB, imempa onyo Mwandishi na Mtangazaji Mwandamizi wa Kituo cha Radio cha Wasafi Media, Diva Gisele Malinzi kwa kosa la…