NEMC YAWATAKA WATANZANIA KULINDA VYANZO VYA MAJI

Mhandisi wa Mazingira na Miundombinu ya Maji kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC),Mhandisi Boniphace Kyaruzi, aziungumza na Waandishi wa Habri. ……. Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limewahimiza Watanzania kuchukua hatua madhubuti za kulinda na kuhifadhi mazingira asilia, ili kuzuia uharibifu wa vyanzo vya maji kwa…

Read More

Mpoki ateuliwa mhariri Mtendaji Mkuu MCL

KAMPUNI ya Mwananchi Communications Limited (MCL), imemteua Mpoki Thomson kuwa mhariri mtendaji mkuu mpya ili kuimarisha mabadiliko ya kihabari kuelekea mfumo wa kidijitali unaoongozwa na ubunifu na ushirikishaji jamii. Taarifa iliyotolewa jana Jumanne na Mkurugenzi Mtendaji wa MCL, Rosalynn Mndolwa-Mworia ilieleza kuwa uteuzi wa Mpoki ni sehemu ya safari ya kampuni hiyo kuongoza mageuzi katika…

Read More

Zanzibar mbioni kutunga sera ya maafa 2025

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema ipo katika hatua za mwisho kukamilisha sera ya maafa itakayotoa mwongozo wa namna ya kukabiliana na majanga mbalimbali, kuzuia au kupunguza vifo vinavyotokana na tatizo hilo ikiwemo watu kuzama majini. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Dk Islam Seif Salim leo…

Read More

Walichosema Dk Mabula, Gulamali baada ya CCM kuwatemwa

Dar es Salaam. Baada ya Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kuwatema waliokuwa wabunge wa Manonga, Seif Gulamali na Ilemela, Dk Angeline Mabula, wenyewe wameahidi kuendelea kukiunga mkono chama hicho na wagombea watakaoteuliwa. Gulamali na Dk Angeline ni miongoni mwa wabunge zaidi ya 30 walioachwa katika orodha ya watiania ya ubunge wa majimbo na…

Read More

ZAHANATI YA MIHAMA ILIVYOBADILISHA

  Katika kipindi cha miezi 14 tu, zahnati ya Mihama katika Manispaa ya Ilemela imehudumia wagonjwa wa nje zaidi ya 2,000, Watoto 78 wamezaliwa hapo na watoto zaidi ya 50 kutoka kaya za walengwa wa TASAF wanapata huduma za klinikina kutimiza masharti ya afya katika kupata ruzuku za TASAF. Ikiwa imejengwa kwa gharama ya Sh…

Read More

Rais Samia alivunja Bunge rasmi

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kulivunja rasmi Bunge Agosti 3, mwaka huu, kutoa nafasi ya uteuzi wa wagombea wa nafasi hiyo. Taarifa ya kuvunjwa kwa Bunge inatolewa katika kipindi ambacho, vyama mbalimbali vya siasa nchini, vipo kwenye hatua za michakato ya ndani ya kuwapata wagombea wa ubunge, urais na udiwani. Hata hivyo,…

Read More