
TANZANIA, IFRC WAJADILI KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA MASUALA YA KIBINADAMU AFRIKA MASHARIKI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Denis Londo (Mb) amelishukuru Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu (IFRC) kwa mchango wake mkubwa katika kusaidia jamii za Kitanzania, hasa wakati wa majanga na dharura, na akasisitiza umuhimu wa kushirikiana kwa karibu…