
Kishapu yapiga hatua utoaji chakula shuleni
Kishapu. Lishe bora kwa wanafunzi imeendelea kuimarika wilayani Kishapu, Mkoa wa Shinyanga, huku idadi ya shule zinazotoa chakula ikipanda kutoka asilimia 90.5 katika robo ya tatu hadi asilimia 97.6 kwenye robo ya nne ya mwaka wa fedha 2024/2025. Ofisa Lishe wa Wilaya ya Kishapu, Hadija Nchakwi amesema leo Jumatano Julai 16, 2025, kuwa mafanikio hayo…