
Hatimiliki za ardhi 1,176 zatolewa Sabasaba
Dar es Salaam. Jumla ya hatimiliki 1,176 zimetolewa katika Maonyesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) yaliyofikia tamati Julai 13, 2025 jijini hapa. Hatimiliki hizo zimetolewa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika maonesho hayo yaliyobeba kaulimbiu ya “Fahari ya Tanzania”. Akizungumza baada ya kufungwa kwa maonyesho…