
Utiririshaji wa maji taka migodi midogo bado changamoto
Dodoma. Wizara ya Maji imesema bado migodi midogo inakabiliwa na changamoto ya utiririshaji wa maji taka na hivyo kusababisha athari kwenye vyanzo vya maji. Hayo yamesema leo Jumatano Julai 16, 2025 na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Diana Kimario wakati akielezea juu ya mkutano wa mwaka wa usalama wa mabwawa utakaofanyika jijini Mwanza kuanzia…