Baraza la Usalama linafanya kazi ya UN ya Haiti huku kukiwa na misiba ya kuongezeka – maswala ya ulimwengu

Kwa kupitisha Azimio 2785, Baraza lilifanya upya idhini ya Ofisi ya Jumuishi ya UN huko Haiti (Binuh), inathibitisha msaada kwa suluhisho linaloongozwa na Haiti kwa machafuko ya taifa la kisiwa. Uamuzi huo unakuja kama genge la silaha linavyodumisha mtego wao juu ya mji mkuu, Port-au-Prince, na zaidi ya watu milioni 1.3 waliohamishwa na zaidi ya…

Read More

MUHIMBILI MLOGANZILA KWA MARA YA KWANZA YATOA UVIMBE KWENYE UTUMBO MPANA KWA KUTUMIA MATUNDU MADOGO.

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini imefanya huduma ya ubingwa bobezi ya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye utumbo mpana kwa kutumia matundu madogo (lapascopic lower anterior resection) kwa mgonjwa aliyekuwa na changamoto hizo. Akielezea upasuaji huo Daktari Bingwa wa Upasuaji aliyebobea kwenye Upasuaji wa Tumbo na Ini MNH-Mloganzila, Dkt. Richard Mliwa amesema…

Read More

Stars kutesti mitambo na Kenya, Uganda kabla ya CHAN

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kinatarajiwa kushiriki mashindano ya CECAFA yaliyoandaliwa maalum kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN). Mashindano hayo yaliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Ukanda wa Afrika Mashariki (CECAFA), yamepewa jina la CECAFA 4 Nations Tournament yatakayoshirikisha timu…

Read More

Stars kutesti mitambo na Kenya, Uganda