MJUMBE WA NEC MHE. RWEBANGIRA ATEMBELEA MAFUNZO YA WATENDAJI WA UCHAGUZI TABORA NA KIGOMA

Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Magdalena Rwebangira, leo Julai 16,2025, ametembelea mafunzo yanayofanyika kwa Watendaji wa Uchaguzi ngazi ya Mkoa na Jimbo kwa Mkoa wa Tabora na Kigoma yanayoendelea katika kituo cha Tabora. Mjumbe Mhe.Rwebangira ameshuhudia mada mbalimbali zikiendelea kuwasilishwa sambamba na mafunzo yanayofanyika kwa njia ya vitendo. Mafunzo haya ya siku…

Read More

DKT. YONAZI AIPONGEZA SERIKALI MAGEUZI SEKTA YA KILIMO

  Na Mwandishi wetu- Morogoro Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imepongezwa kwa kuendelea kufanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Kilimo kwa lengo la kuongeza uzalishaji, tija na faida kwa wakulima na wananchi kwa ujumla. Pongezi hizo zimetolewa na, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na…

Read More

DKT. YONAZI AIPONGEZA SERIKALI MAGEUZI SEKTA YA KILIMO

  Na Mwandishi wetu- Morogoro Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imepongezwa kwa kuendelea kufanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Kilimo kwa lengo la kuongeza uzalishaji, tija na faida kwa wakulima na wananchi kwa ujumla. Pongezi hizo zimetolewa na, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na…

Read More

Mtanda akazia Sh34 bilioni kupelekwa Malya

Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amezungumzia mvutano wa Sh34 bilioni zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi na upanuzi wa Kituo cha Michezo cha Malya, akieleza kuwa mvurugano huo umetokana na wanasiasa kuchanganya mambo. Akizungumza leo Jumatano Julai 16, 2025 jijini Dodoma wakati wa kuelezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita katika utekelezaji…

Read More

Matarajio ya wananchi dira inapokwenda kuzinduliwa

Dar es Salaam. Ilianza mipango, ikafuata mikakati, baadaye maandalizi hadi kukamilika na sasa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inazinduliwa, huku wananchi wakiitarajia kuwa msingi wa ukuaji uchumi, usawa wa jinsia na maendeleo jumuishi. Dira hiyo inayojumuisha malengo na mipango ya 25 kuanza 2025/50 ya Tanzania, inatarajiwa kuzinduliwa kesho Alhamisi, Julai 17, 2025 na inakuja…

Read More

Askofu Gwajima: Nitaendelea kubaki CCM ila sitaogopa

Dar es Salaam. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima amesema yeye ataendelea kuwa mwanachama wa chama hicho na wala hana mpango wa kukihama. Askofu Gwajima ambaye pia ni Mbunge wa Kawe (CCM) anayemaliza muda wake, amesema hayo leo Jumatano, Julai 16, 2025 alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala…

Read More

Twanga Pepeta ya peleka burudani New Wallet Pugu

Na MWANDISHI WETU BENDI ya muziki wa dansi ya The Arican Stars Internatiobal ‘Twanga Pepeta’ inatarajia kufanya onesho kubwa na la aina yake katika Ukumbi wa New Wallet Pub, uliopo Kwa Rais, Kata ya Pugu, Ilala, jijini Dar es Salaam. Onesho hilo linatarajiwa kufanyika Julai 19 mwaka huu na litakuwa halina kiingilio. Akizungumza na waandishi…

Read More

Vodacom M-Pesa, Vivo Energy Tanzania Washirikiana Kuchochea Malipo ya Kidijitali

Kampuni ya Vodacom Tanzania, inayoadhimisha miaka 25 ya kuwahudumia Watanzania, imetangaza ushirikiano rasmi na kampuni ya mafuta ya Vivo Energy Tanzania katika jitihada za kukuza na kuongeza matumizi ya malipo ya kidijitali kwa wateja wanaonunua mafuta katika vituo vyake vya Engen kote nchini Tanzania. Uzinduzi huu uliofanyika katika kituo cha mafuta cha Engen kilichopo Mikocheni,…

Read More