Je! Ni watoto wangapi zaidi lazima wafe kabla ya ulimwengu kutenda? – Maswala ya ulimwengu

Juliette Touma, Mkurugenzi wa Mawasiliano kwa Wakala wa UN kwa Wakimbizi wa Palestina, Unrwaametembelea Gaza mara kadhaa wakati wa vita na amekuwa akitafakari juu ya watoto aliokutana nao huko na katika maeneo mengine ya migogoro. “Adamu amekuwa akilini mwangu hivi karibuni, zaidi kuliko kawaida. Nilikutana na Adamu miaka iliyopita katika mji wa bandari wa Yemeni…

Read More

Bunge la Afrika Mashariki lahitimisha vikao vyake kwa viporo

Arusha. Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limehitimisha vikao maalumu vya mtandaoni, lakini halikufanikisha kumaliza majadiliano ya hoja zilizopangwa kujadiliwa. Vikao hivyo vilivyoanza mwezi uliopita vilijikita katika mambo mbalimbali, hoja kubwa ilikuwa kujadili na kupitisha bajeti ya Jumuiya kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Hoja hiyo ilifanikiwa baada ya kupendekeza, kujadili na kuidhinisha bajeti ya…

Read More

HATI MILKI ZA ARDHI 1,176 ZATOLEWA MAONESHO YA SABASABA

Na Munir Shemweta, WANMM Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetoa jumla ya Hati Milki za Ardhi 1,176 wakati wa Maonesho ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yaliyomalizika mwishoni mwa wiki. Katika maonesho hayo yaliyobeba kaulimbiu ya “Fahari ya Tanzania” Wizara ya Ardhi imetoa huduma mbalimbali ikiwemo hati milki za ardhi kwa wamiliki waliokamilisha…

Read More

Inonga atemwa rasmi FAR Rabat

Klabu ya FAR Rabat imemalizana na beki wake Henock Inonga ‘Varane’ baada ya msimu mmoja ndani ya timu hiyo. Inonga aliyetambulishwa ndani ya FAR Rabat Julai 13, 2024, amesitishiwa mkataba, kutokana na ripoti ya kocha Mreno Alexander Santos. Beki huyo wa zamani wa Simba, hakuwa na maisha mazuri ndani ya timu hiyo, akianza kwenye mechi…

Read More

Rais mstaafu Buhari azikwa, maelfu wajitokeza kumuaga barabarani

Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, amezikwa jana Jumanne Julai 15, 2025 katika mji wake wa nyumbani wa Daura, Kaskazini-Magharibi mwa Nigeria, ambako maelfu ya watu walijitokeza barabarani kumuaga. Buhari alifariki Jumapili  Julai 13, 2025  akiwa London nchini Uingereza, ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Kwa mara ya kwanza alishika madaraka mwaka 1983 katika taifa lenye…

Read More