
Yanga yashtukia jambo usajili wa mastaa, yaweka akili mpya
TAKRIBANI siku 15 zimekatika tangu kufunguliwa kwa dirisha la usajili hapa nchini, mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC wameshtukia jambo na kuamua kuchukua hatua za haraka. Yanga ambayo msimu wa 2024-2025 ilibeba mataji matano, Kombe la Toyota, Ngao ya Jamii, Kombe la Muungano, Ligi Kuu Bara na Kombe la FA, inaendelea na…