
Kituo cha kibishara Ubungo kitakavyosaidia wazawa
Dar es Salaam. Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa ujenzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) haimaanishi kitakuja kuchukua masoko ya wafanyabiashara wazawa. Hilo linasemwa baada ya kuwapo kwa kauli zinazotolewa na wadau wakidai kituo hicho huenda kikaua baadhi ya masoko ya ndani, likiwemo lile la Kariakoo kutokana na utendaji kazi wake. Hayo…