
Hizi hapa fani zinazopendwa na wengi vyuo vikuu
Dar es Salaam. Wakati dirisha la kuomba udahili kwa wanafunzi wa vyuo vikuu likifunguliwa rasmi, takwimu zinaonyesha fani nne ndiyo zinazopendwa zaidi na wanafunzi. Kwa mujibu wa takwimu mpya za Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) zilizotolewa Mei 2025, takribani asilimia 70 ya wanafunzi waliojiunga na vyuo vikuu mwaka 2024/2025 walichagua masomo ya biashara, elimu, sayansi…