
Mfanyabiashara aliyejiua Moshi azikwa, Kanisa Katoliki likieleza sababu za kumzika
Moshi. Wakati mamia ya waombolezaji wakishiriki maziko ya mfanyabiashara aliyejiua kwa kujinyonga mjini Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, Ronald Malisa (35), Kanisa Katoliki limeeleza sababu za kumzika licha ya taratibu za kanisa hilo kuwa na msimamo mkali wa kutozika waliojiua. Padre Festo Urassa wa Parokia ya Mbokomu, Jimbo Katoliki la Moshi, mkoani Kilimanjaro amesema wamemzika mfanyabiashara…