MKOA WA TANGA WAPOTEZA SHILINGI BILION 2

…………. NA Ester Maile Dodoma  Mkoa wa Tanga wapoteza kiasi cha shilingi Bilioni 2 kufuatia wawekezaji wa Kampuni za Saruji kugomea tozo ya mazao ya madini Mkoani hapo Mgogoro ambao bado unashugulikiwa na Mkoa huo  Hayo yamebainishwa na Mkuu wa mkoa wa Tanga Dkt Batilda Burian leo 15 julai 2025 jijini Dodoma wakati akizungumza na…

Read More

ACT-Wazalendo Zanzibar yakamilisha kura za maoni makada 606 wakisubiri mchujo wa vikao vya juu

Unguja. Wakati ACT-Wazalendo ikimaliza mchakato wa upigaji kura za maoni Zanzibar, makada 606 wamejitokeza kuwania nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani kupata ridhaa ya kuperurusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu. Hayo yameelezwa leo Jumanne Julai 15, 2025 na Katibu wa Itikadi, Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa chama hicho, Salim…

Read More