
Jaji Mwambegele atoa maagizo kwa wasimamizi wa uchaguzi
Morogoro. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele ametoa maagizo kwa wasimamizi wa uchaguzi nchini, akisisitiza umuhimu wa kuzingatia viwango vya juu vya uwajibikaji na uadilifu katika maandalizi ya uchaguzi. Miongoni mwa maagizo aliyotoa ni kuhakikisha kuwa watendaji watakaoajiriwa katika vituo vya kupigia kura wanakuwa na sifa stahiki, weledi wa…