
JKT Mgulani waipambania sita bora
KOCHA wa JKT Mgulani, Frank Kisiga amesema kwa sasa wanachokipambania ni kuhakikisha timu yao inamaliza msimu ikiwa nafasi ya sita bora na siyo kushuka daraja. Katika mechi saba timu hiyo imeshinda mbili na kufungwa michezo mitano, jambo ambalo kocha Kisiga alisema walipata muda wa kuyarekebisha makosa, wanaamini wanarejea kwa kishindo. “Kwanza tulikutana na timu ambazo…