
ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO NI URITHI WA DUNIA, TUENDELEE KULITUNZA; DKT. PHILIP MPANGO.
Mwandishi wa NCAA, Arusha. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amesema eneo la Hifadhi ya Ngorongoro ambalo ni urithi wa dunia linapaswa kuendelea kutunzwa kama fahari ya nchi ili liendelee kuwa kimbilio la wageni wengi wanaokuja Tanzania kwa shughuli za utalii. Dkt. Mpango ameeleza hayo wakati alipotembelea…