
Gamondi anataka majembe ya kazi Singida Black Stars
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi anatarajia kuwasili nchini mwisho wa mwezi huu huku akiutaka uongozi wa timu hiyo kumsajilia nyota wenye uzoefu ambao watampa taji na kutoa ushindani kimataifa. Gamondi anarudi nchini kwa mara ya pili baada ya kuinoa Yanga kwa mafanikio na kuondoka Novemba 2024 akikaa kwa takribani msimu mmoja na…