
Polepole na matumizi batili ya uwanja wa mapambano
Mbinu 36 za Kushinda Mapambano, yaani Thirty-Six Stratagems, zilizochorwa Karne ya Tano kama ramani ya vita na Jenerali wa China ya Kale upande wa Kusini, Wang Jingze na kuwekwa kwenye Kitabu cha Qi (Book of Qi), nazitumia kujenga muktadha. Lengo ni kuunda picha pana dhidi ya vuguvugu la ‘uasi’ CCM na matokeo yanayotarajiwa. Kutoka sauti…