
Polisi Lindi wamkamata Zitto, aachiwa
Lindi. Jeshi la Polisi Mkoa Lindi, limemuachia Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe baada ya kumkamata kwa muda kwa tuhuma za kutoa taarifa za vitisho katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika Tunduru mkoani Ruvuma. Usiku wa kuamkia leo Jumatatu Julai 14, 2025 polisi takribani watano walimkamata Zitto katika hoteli aliyofikia Wilaya…