
Wasira: Amani ienziwe, si hewa ipatikanayo bila kulipiwa
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema suala la amani ya Tanzania lisichukuliwe kama hewa inayopatikana bila kulipiwa chochote, bali ni mipango na uzalendo wa viongozi ambao unapaswa kuendelezwa. Amehimiza Watanzania wakiongozwa na viongozi wa dini kuendelea kudumisha misingi iliyosimamisha amani iliyowekwa na waasisi wa Taifa. Wasira ameyasema…