
ZAIDI YA KAMPUNI 15 ZAANZA KUWEKEZA KATIKA KONGANI YA VIWANDA
…………….. Na Ester Maile Dodoma Eneo la Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi Mkoani Shinyaga sasa umegeuzwa na kuwa Kongani ya Viwanda ambapo Kampuni zaidi ya 15 za Kimataifa zitaanza kuwekeza katika Mgodi huo baada ya shuguli za uchimbaji Dhahabu kumalizika Akizungumza na Waandishi wa habari leo 14 julai Jijini Dodoma, mkuu wa mkoa wa Shinyanga …