Kumradhi Nehemiah Mchechu | Mwananchi

Kampuni ya Mwananchi Communications Limited, wachapishaji wa magazeti ya Mwananchi, The Citizen, na Mwanaspoti, inaomba radhi kwa Nehemiah Kyando Mchechu kutokana na makala iliyochapishwa katika toleo Na. 4551 la gazeti la The Citizen Ijumaa la Machi 23, 2018. Tunakiri kuwa habari hiyo ilikuwa na tuhuma ambazo zimebainika kuwa za kudhalilisha dhidi ya Mchechu na ilikuwa…

Read More

BALOZI LIBERATA MULAMULA ASHIRIKI MKUTANO WA AU ASISITIZA KUTOKOMEZA UKATILI KWA WANAWAKE NA WASICHANA

::::::: Mjumbe Maalum wa Wanawake, Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika, Mh. Balozi Liberata Mulamula ameshiriki Mkutano wa Taasisi ya Maendeleo ya Umoja wa Afrika (AUDA-NEPAD) na Mkutano wa Umoja wa Afrika, (AU), uliohusisha viongozi mbalimbali huku akisisitiza Nchi hizo kusaini na kuridhia Mkataba wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana. Balozi Mulamula…

Read More

Dodoma Jiji yamnasa kiungo wa Tabora United

DODOMA Jiji imeanza kujipanga mapema kwa msimu ujao na sasa imeshanasa saini ya kiungo wa Tabora United, Nelson Munganga aliyekuwa akiwindwa na Namungo ya mkoani Lindi. Mkongomani huyo (31) aliyetua Tabora msimu uliomalizika akiitumika mwaka mmoja akifunga bao moja, huku akiwa miongoni mwa wachezaji bora katika safu ya kiungo ya kikosi hicho. Mwanaspoti linafahamu, miongoni…

Read More

Eliuter Mpepo atajwa Mbeya City

WINGA Eliuter Mpepo huenda akaendelea kusalia kwenye ramani ya Ligi Kuu Bara baada ya kuhusishwa na mipango ya kujiunga na kikosi cha Mbeya City, ambacho kimepanda daraja msimu huu. Kwa mujibu wa taarifa ambazo Mwanaspoti imezipata, Mpepo anatajwa kuwa kwenye rada ya benchi la ufundi la Mbeya City, ambalo lipo katika mchakato wa kuimarisha kikosi…

Read More

Kampeni ya Ulimwenguni inahimiza kila mtu kuongea kwa siku zijazo bora – maswala ya ulimwengu

Ilizinduliwa mnamo Juni, kampeni ya dijiti ya wiki nane inachukua umaarufu wa kudumu wa wapenzi wa Smurfs kuhamasisha vijana-pamoja na wazazi wao na walezi-kuinua sauti zao juu ya maswala ambayo yanafaa kwao. mpango ni sehemu ya UN’s ACTNOW juhudi kwa Malengo endelevu ya maendeleo (SDGS) na inakusudia kuwawezesha watu binafsi, haswa watoto, kuongea na kuchukua…

Read More