
Sh7.06 bilioni zaingizwa Sabasaba, Majaliwa aacha maagizo
Dar es Salaam. Wakati biashara ya zaidi ya Sh7.06 bilioni ikifanyika katika maonyesho ya Sabasaba yaliyofikia tamati, Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa maagizo saba ambayo yanalenga kuboresha ukuaji wa biashara nchini. Majaliwa alitoa maagizo hayo jana Julai 13, 2025 wakati akifunga maonyesho hayo ya 49 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam…