Jukwaa la UN la Kuangazia Afya, Usawa wa Jinsia, Bahari, katika Hati muhimu ya Kukidhi Malengo ya Maendeleo – Maswala ya Ulimwenguni

2025 Mkutano wa kisiasa wa kiwango cha juuau HLPF, inafuata mikutano miwili ya hivi karibuni ya UN iliyofanikiwa ililenga maswala muhimu ya maendeleo: moja mnamo Juni katika Nzuri, Ufaransa, iliyojitolea kwa ulinzi wa baharina mwingine uliowekwa ndani Sevilla, Uhispania, iliyozingatia kuongeza fedha kwa mipango endelevu. Mkutano wa Sevilla uliisha na wito wenye nguvu wa kuchukua…

Read More

Chama la Edwin Balua lina historia

TAARIFA mbalimbali zinaeleza kuwa kiungo wa Simba, Edwin Balua ametolewa kwa mkopo wa mwaka mmoja kwenda Enosis Union Athletic Paralimni FC ya Cyprus. Makubaliano ya mkataba huo wa mkopo yana kipengele cha kumnunua moja kwa moja iwapo ataonyesha kiwango bora. Timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo ina historia yake kwenye mashindano ya ndani na…

Read More

Namungo kunoa makali Dodoma | Mwanaspoti

WAKATI timu zikisaka maeneo ya kwenda kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao, Namungo FC mapema imeshajua ni wapi itakwenda kuweka kambi yake, huku katibu wa klabu hiyo Ally Suleiman akifunguka kuhusu kocha mpya wa kikosi hicho. Namungo msimu uliopita ilimaliza katika nafasi ya tisa ikiwa imejizolea pointi 35 katika mechi 30 ilizocheza ikishinda tisa,…

Read More

Simba yahamia kwa beki Mnigeria

BAADA ya Simba kumkosa aliyekuwa beki wa kati wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Souleymane Coulibaly ambaye amejiunga na IFK Varnamo ya Sweden, kwa sasa mabosi wa kikosi hicho wametua Nigeria mmoja matata kutoka Nigeria. Simba inahitaji tena beki mwingine wa kati baada ya kudaiwa huenda pia ikampa mlango wa kutokea, Che Fondoh Malone msimu…

Read More

Ayoub Lakred avunja ukimya | Mwanaspoti

SIKU chache tangu amalizane na Simba, kipa Ayoub Lakred aliyetua FUS Rabat ya Morocco, amevunja ukimya kwa kufichua kuwa, licha ya kuondoka Msimbazi, lakini klabu hiyo itaendelea kuwa moyoni mwake kwa namna alivyoishi nayo, huku akiitaja Yanga. Lakred aliyeitumikia timu hiyo kwa msimu mmoja ya kupata majeraha yaliyomweka nje kwa muda mrefu, licha ya kuendelea…

Read More

Viwango vya kazi visivyoungwa mkono viko hatarini wakati kutokuwa na uhakika wa ushuru kunakua-maswala ya ulimwengu

Kuongezeka kwa ushuru au ushuru halisi kunalenga sana uagizaji wa ushuru nchini Merika na itafanya bidhaa zilizotengenezwa na viwanda nje ya nchi kuwa ghali zaidi – hali ambayo inaweza kupunguza mahitaji. Ilos Kazi bora Programu, ushirikiano na Shirika la Fedha la Kimataifa (IFC), imeunga mkono viwanda vya nguo, ambavyo vingi huuza bidhaa zao kwenda Merika….

Read More

CHELSEA YACHUKUA UBINGWA WA DUNIA KWA VILABU 2025

 :::::: Chelsea imetwaa Kombe la Dunia la Vilabu (WCW) baada ya kuichapa PSG mabao 3-0 katika Uwanja wa MetLife, Marekani. Mabao mawili ya Cole Palmer na Joao Pedro yametosha kuipa Chelsea ubingwa huo kwa mara ya pili katika historia yake.  Licha ya matokeo kuwa mazuri kwa upande wa Chelsea waliutawala mchezo huo vipindi vyote viwili…

Read More