
Simba yateua watano kamati ya usajili
UONGOZI wa klabu ya Simba umeteua majina matano yatakayounda kamati mpya ya usajili ya timu hiyo ambayo ipo sokoni kusajili nyota watakaoibeba msimu ujao. Kamati hiyo awali ilikuwa na Crecensius Magori, Mulamu Nghambi, Kassim Dewii na Sued Mkwabi ambao waliteuliwa kusimamia usajili mapema msimu ulioisha. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Simba kimeiambia Mwanaspoti kuwa…