
CCM waanza mchakato uteuzi ngazi ya Taifa
Dodoma. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuanza rasmi mchakato wa uteuzi wa wagombea ubunge katika ngazi ya Taifa, kikiwataka wote watakaokosa nafasi kuwa watulivu, waaminifu na watiifu kwa chama. Aidha, chama hicho kimeeleza kwamba hadi sasa hakuna mgombea yeyote aliyekatwa au kuenguliwa, kwa kuwa uamuzi wa mwisho kuhusu majina ya wagombea utatolewa na Kamati Kuu…