
Kiungo Mtanzania awindwa na Waarabu
KIUNGO Mtanzania Suzana Adam, ambaye alikuwa anakipiga FC Masar ya Misri, anawindwa na timu za Ligi Kuu nchini humo na Morocco. Nyota huyo amemaliza mkataba wa miaka miwili aliokuwa anatumikia FC Masar, alipojiunga mwaka 2023 akitokea Fountain Gate Princess ya Tanzania. Akizungumza na Mwanaspoti, meneja wa mchezaji huyo, James Mlaga, alisema ni kweli amemaliza mkataba…