MNIKWAMBIE MAMA: Mtuletee wagombea wenye sifa ya ubunifu

Endapo utaona tone la mvua likiangukia sofani, utashikwa na hofu ya kuharibika kwa sofa hilo. Utatupa macho juu kuona panapovuja na kukutana na alama kwenye dari. Utaweka ngazi na kuparamia darini ambako utagundua kigae kilichovunjika. Usipoangalia utajikuta ukirudi chini na kuinamisha kichwa: kadha imekuwa kadha wa kadha! Namna hii ndiyo ambayo matatizo huitumia kumchanganya mwanadamu….

Read More

Wachunguzi wa Haki za UN – Maswala ya Ulimwenguni

Wakati huo huo, shambulio lingine Jumanne liliripotiwa kuwauwa raia watano na kujeruhi watatu katika mkoa wa Kharkiv, ulioko mashariki mwa Ukraine. Kulingana na viongozi, vikosi vya jeshi la Urusi viliangusha mabomu kadhaa yenye nguvu kwenye Bilenkivska Adhabu ya Adhabu ya Colony Na. 99 mnamo 28 Julai. Gereza hilo liko karibu kilomita 25 kutoka mstari wa…

Read More

Che Malone atuma ujumbe msimbazi

ALIYEKUWA beki wa kati wa Simba SC, Che Fondoh Malone, sasa ni mchezaji halali wa klabu ya USM Alger ya Algeria baada ya kufuzu vipimo vya afya na kusaini mkataba wa miaka miwili na mabingwa hao wa zamani wa Kombe la Shirikisho Afrika. Akizungumza akiwa jijini Algiers mara baada ya kuthibitishwa kuwa mchezaji mpya wa…

Read More

MWENGE WA UHURU WAZINDUA MTAMBO WA KUTENGENEZA BARABARA KALIUA

KATIKA kutekeleza mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan wa kuhakikisha barabara za mijini na vijijini vinapitika wakati wote, Wilaya ya Kaliua imetekeleza mkakati huo kwa vitendo. Katika kuthibitisha hilo, Mbio za Mwenge wa Uhuru umezindua mtambo wa kutengeneza barabara (Motor Grader) wenye thamani ya shilingi bilioni 1.2…

Read More

KAMATI KUU YA CCM YAMPITISHA DKT ALLY SIMBA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MOROGORO MJINIi

………………..  KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imelipendekeza jina la Mkurugenzi Mtendaji Shirika la Mawasiliano Afrika Mashariki DK Ally Simba, kuwania Ubunge katika Jimbo la Morogoro Mjini akichuana na wagombea wengine sita akiwemo aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Abdulaziz Abood. Dk Simba ambaye mbali na nafasi yake ya Utendaji katika…

Read More