
Wajasiriamali walia kukosekana kwa vifungashio, ZEEA yaeleza ufumbuzi
Unguja. Wajasiriamali kisiwani Unguja wamesema ingawa wamefaidika kwa kupata punguzo kwenye alama za ubora wa bidhaa zao na fursa ya kujitangaza, bado wanakumbwa na changamoto ya ukosefu wa vifungashio vya bidhaa. Wamesema hali hiyo inawalazimu kuagiza vifungashio kutoka nje ya nchi, jambo linaloongeza gharama na kuwa mzigo kwao. Kauli hiyo wameitoa leo Jumapili Julai 13,…