
LOOT Legends: Milioni Zinasubiri Kwa Wanaocheza na Meridianbet
KINARA wa michezo ya kubashiri Tanzania, Meridianbet, anakuletea LOOT Legends, tukio la kusisimua zaidi msimu huu. Huu ni msururu wa mashindano ya wiki 10 kwenye michezo ya sloti, ukitawaliwa na zawadi ya jumla ya zaidi ya pesa taslimu TZS 1.5 bilioni. Fursa hii imeanza tarehe 30 Juni hadi 7 Septemba 2025, na ni kwa wachezaji…