
Simulizi soko lilivyoteketea Iringa, waacha vilio
Iringa. Ni vilio! Ndivyo unavyoweza kuelezea hali iliyotawala katika eneo la Soko la Mashine Tatu mjini Iringa baada ya moto kuteketeza vibanda 429 vya ndani, 86 vya nje ya soko hilo na kuathiri shughuli za biashara kwa zaidi ya wafanyabiashara 500 waliokuwa wakitegemea eneo hilo kwa maisha yao ya kila siku. Moto huo, ambao imeelezwa…