๐—ฆ๐—จ๐—” ๐—ป๐—ฎ ๐—Ÿ๐—จ๐—ฉ๐—”๐—ฆ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐˜‡๐—ผ๐—ฒ๐—ณ๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐˜๐—ถ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ๐—บ๐—ฎ

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kitaanza kubadilishana wafanyakazi na wanafunzi pamoja na kushirikiana katika tafiti na Chuo Kikuu cha Lala Lajpat Rai cha Tiba ya Wanyama na Sayansi za Afya cha Haryana, India hiyo ni baada ya hafla ya kusaini hati ya makubalinao ya kushirikiana yaliyosainiwa leo Julai 11, 2025 Jijini Dar es Salaam….

Read More

Simba Queens kuanza upya | Mwanaspoti

KOCHA msaidizi wa Simba Queens, Mussa Hassan Mgosi amesema kipindi cha usajili kinachoendelea kwa sasa, wanafumua kikosi hicho na kuingiza sura nyingi chipukizi, lengo ni kutengeneza ushindani wa ndani na nje. Mgosi alisema mipango ya Simba Queens msimu ujao ni mikubwa baada ya uliyoisha 2024/25 kushika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu ya…

Read More

Kiungo Simba arejesha majeshi Mashujaa FC

WAKATI fagio likiendelea kupitishwa Simba, kiungo wa zamani wa Mashujaa, Omary Omary amerudishwa alipotoka kutokana na kukosa nafasi ya kucheza katika kikosi hicho. Kiungo huyo mshambuliaji tangu amesajiliwa na timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili, amekosa nafasi ya kucheza mara kwa mara kikosini hapo na chanzo cha kuaminika kutoka Simba kimeliambia Mwanaspoti, kiungo huyo…

Read More

MBIO ZA MSAKUZI PANDE GAME RESERVE ZAZINDULIWA RASMI

……………….. ๐Ÿ“Utalii wa michezo wahamasishwa Na. Joyce Ndunguru, Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa kushirikiana na Msakuzi Sports Promotion leo Julai 12,2025, imezindua rasmi msimu wa kwanza waย  mbio za riadha zinazojulikana kama “Msakuzi Pande Game Reserve Marathon” zilizofanyika katika Hifadhi ya Pande iliyopo jijini Dar es Salaam. Akizungumza kwa…

Read More

CEOrt YAADHIMISHA MIAKA 25 YA UONGOZI WA SEKTA BINAFSI KUPITIA MBIO MAALUM

ย  Jukwaa la Watendaji Wakuu wa Sekta Binafsi Tanzania (CEOrt Roundtable) limeadhimisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwake kwa kuandaa tukio maalum la mbio za ‘CEOrt Legacy Walk’, zilizofanyika jijini Dar es Salaam. Maadhimisho haya ya robo karne yamelenga kuenzi mafanikio ya uongozi, ushirikiano na mchango wa sekta binafsi katika maendeleo ya taifa, sambamba na kuhamasisha…

Read More

Malala Fund yatenga Sh7 bilioni kusaidia wasichana waliokatishwa masomo Tanzania

Dodoma. Shirika la kimataifa la Malala Fund limetenga takriban Sh7.7ย bilioni kwa ajili ya kuwawezesha wasichana waliokatishwa masomo kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo ujauzito wa mapema, kurejea shuleni na kuendelea na elimu yao. Lengo la mpango huu ni kuhakikisha wasichana hao wanapata fursa ya pili ya kujifunza, kujijengea maisha bora, na kuchangia maendeleo ya jamii zao….

Read More