
Kalish: Utajiri wa kweli ni kuwasaidia wengine
Hai. Mchezaji wa zamani wa Major League Baseball (MLB) nchini Marekani, Ryan Kalish, amesema utajiri wa kweli kwa binadamu haupimwi kwa umaarufu au mali alizonazo, bali kwa namna anavyogusa maisha ya wengine. Kalish, aliyewahi kuichezea timu ya Chicago Cubs kati ya mwaka 2014 na 2016, amesema hayo alipotembelea Taasisi ya New Life Foundation, iliyopo wilayani…