
INDIA YAENDELEZA UWEKEZAJI TANZANIA: MIRADI YA DOLA BILIONI 2.5 YASHAMIRI VIWANDANI, KILIMO NA TEHAMA
USHIRIKIANO wa kiuchumi kati ya Tanzania na India unaendelea kuimarika kwa kasi, huku India ikijidhihirisha kama mmoja wa wawekezaji wakubwa na wa kuaminika nchini. Takwimu kutoka Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) zinaonesha kuwa hadi sasa, jumla ya miradi 793 kutoka India imesajiliwa rasmi, ikiwa na thamani ya zaidi ya dola…