
Fountain yambeba jumla straika wa mabao
MABOSI wa Fountain Gate wamefanikisha kumnunua moja kwa moja mshambuliaji Edgar William aliyekuwa akiitumikia timu hiyo kwa mkopo kutoka Singida Black Stars. Edgar aliitumikia Fountain Gate kwa mkataba wa mwaka mmoja ambao ulikuwa ni wa mkopo na kuifungia timu hiyo mabao sita. Chanzo cha kuaminika kutoka Fountain Gate kililiambia Mwanaspoti, kutokana na kuvutiwa na uwezo…