
KITUO CHA DHARURA CHA SERIKALI CHAWA KIVUTIO AFRIKA KWA KUKINGA MAAFA
Na Mwandishi Wetu – Dodoma Uwekezaji wa Serikali ya Tanzania katika kuimarisha mifumo ya kukabiliana na majanga kupitia Kituo cha Ufuatiliaji wa Majanga na Tahadhari ya Mapema (Situation Room) umeanza kuzaa matunda, baada ya nchi mbalimbali za Afrika kuonesha kuvutiwa na namna kituo hicho kinavyofanya kazi. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu…