
Moto waua watoto watano kituo cha yatima Tabora
Tabora. Watoto watano waliokuwa katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Igambilo, Kata ya Misha, Manispaa ya Tabora wamefariki dunia, baada ya moto kuzuka katika chumba walicholala. Inaelezwa kuwa moto huo umeanzia katika jengo lenye vyumba vinne, ikiwemo chumba walichokuwa wamelala watoto hao wenye mahitaji maalumu, usiku wa kuamkia Julai 29, 2025, huku chanzo kikitajwa…