WAJASIRIAMALI WANUFAIKA WA CAMFED WAONYESHA BIDHAA SABASABA
Mmoja wa wajasiriamali wanufaika wa Shirika la CAMFED Tanzania akizungumza kwenye Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara – maarufu kama Sabasaba wanayoshiriki kutangaza biashara wanazozifanya kwa sasa. Sehemu ya wajasiriamali wanufaika wa Shirika la CAMFED Tanzania wakiwa na bidhaa zao mbalimbali kwenye Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara – maarufu kama Sabasaba…