Qares: Mwenyekiti wa G55 anayekumbukwa kwa misimamo yake

Dar/Mikoani. “Ninaweza kumwelezea Qares (Mateo) kama mmoja wa watu wakweli. Alikuwa na kiwango cha chini sana cha unafiki na hakuogopa kusema kile anachofikiri. Ni watu wachache wanaoweza kusema jambo hata kama halimpendezi mtu, lakini akalisema kwa uwazi.” Ni kauli ya mwanasiasa mkongwe nchini, Jenerali Ulimwengu, akimwelezea Qares, aliyefariki dunia Julai 9, 2025, saa 4:00 usiku…

Read More

Watatu Simba wajiandaa kutua Yanga

SIMBA Queens imeshawapa taarifa wachezaji ambao haitakuwa nao msimu ujao na kati yao watatu wanahusishwa kujiunga na Yanga Princess. Wachezaji hao ni kiungo Ritticia Nabbosa, Asha Djafar na Precious Christopher ambao mikataba yao kikosini hapo imeisha. Asha Djafar aliyedumu kikosini hapo kwa misimu mitano mfululizo akiisaidia Simba kubeba mataji mbalimbali, amepewa taarifa hatakuwa sehemu ya…

Read More

Polisi Mbeya yatangaza msako wamiliki magari ya shule wanaokwepa ukaguzi

Mbeya. Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya, limetangaza oparesheni maalumu ya kubaini wamiliki wa shule ambao wanakwepa kupeleka mabasi yanayosafirisha wanafunzi kukaguliwa. Hatua hiyo imetokana na mwamko mdogo wa baadhi ya  shule kukiuka sheria sambamba na kutumia daladala za umma kusafirisha wanafunzi bila kibali. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Julai…

Read More

Ukweli lishe kwa wagonjwa wenye kisukari

Dar es Salaam. Katika jamii nyingi, suala la lishe kwa mtu mwenye kisukari limezungukwa na taarifa nyingi zinazochanganya. Wengi huamini kuwa mtu mwenye kisukari haruhusiwi kula vyakula fulani kabisa. Wengine hufikiri lazima ale chakula maalum kinachopatikana kwa gharama kubwa, huku baadhi wanamini mtu mwenye kisukari hawezi tena kufurahia mlo wa kawaida kama wengine. …

Read More

JKT Queens yabeba kipa Mashujaa

JKT Queens msimu huu ndiyo itaiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya CECAFA ya kufuzu Ligi ya Mabingwa kwa Wanawake na tayari imeanza maboresho kwenye baadhi ya maeneo ikiwemo langoni. JKT itashiriki michuano hiyo baada ya kuwa mabingwa wa ligi msimu huu. Hii inakuwa mara ya pili kwa timu hiyo baada ya mwaka 2023 kuibuka mabingwa wa…

Read More

Wanawake wanavyolizwa tiba ya PID

Kutokana na dunia kupiga hatua za kimawasiliano kupitia mitandao, ni kawaida kuzagaa kwa taarifa za afya ambazo zinaweza kuwa za kweli na hata zile potofu. Moja ya tatizo la kiafya ambalo ni kawaida kulisikia na kuona matangazo yake sana mtandaoni na mitaani, ni tatizo la kiafya la PID kwa wanawake. Kirefu cha PID ni ‘Pelvic…

Read More