
Maajabu ya parachichi kwa afya ya binadamu
Dar es Salaam. Parachichi ni miongoni mwa matunda yenye faida kubwa mwilini, na moja wapo ya faida hiyo ni kuimarisha usagaji wa chakula tumboni. Utafiti mwingi unaonesha kuwa watu wenye mazoea ya kula tunda hilo kwa wingi, huwa na afya njema na uzito unaokubalika kiafya. Tunda hilo lenye mafuta mengi, linasaidia kupunguza hatari ya mtu kupatwa…