
Nani Hataki Zawadi? Meridianbet Wanagawa Samsung A25 kwa Wacheza Super Heli
KAMA bado hujaipata hii taarifa, basi uko nyuma sana. Meridianbet wamerudi tena na promosheni mpya inayotikisa. Safari hii wakikuletea mchezo wa Super Heli ambao hauleti tu burudani ya kukata na shoka, bali pia unakuweka kwenye rada ya ushindi wa simu mpya ya Samsung A25. Yaani, simu ya kisasa kabisaa bila hata kutoka jasho. Promosheni ilianza…