
Juma Mgunda nje, Mzambia anaingia Namungo
UONGOZI wa Namungo FC umeachana rasmi na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mgunda, baada ya kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba kwa pande zote mbili, huku Mzambia Hanour Janza aliyewahi kuifundisha akitajwa kurithi mikoba hiyo kwa msimu ujao wa mashindano. Mbali na Mgunda, Namungo pia imeshawapa ‘thank you’ wachezaji watatu waliokuwa na kikosi hicho…