
Aina nyingi za samaki wa maji baridi Afrika hatarini kutoweka
Dar es Salaam. Takriban asilimia 26 ya aina za samaki wa maji baridi waliofanyiwa utafiti barani Afrika wako hatarini kutoweka, kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira (WWF). Ripoti hiyo, iliyobeba jina la Samaki Waliopuuzwa Afrika, imetolewa kuelekea Mkutano wa Kimataifa wa Ramsar (COP15) kuhusu uhifadhi wa maeneo…